Firecracker
Member
- May 21, 2017
- 51
- 45
Weka picha
Tsh 650,000Weka bei
Nipigie tuongeePunguza mkuu
Yah,zikishakua battery low,znakupa warning ukiipuuzia znazma ghafla.Nasikia Lenovo huwa zinazima ghafla tu...
Yah,zikishakua battery low,znakupa warning ukiipuuzia znazma ghafla.
Asante sana mkuu kwa kunisaidia kujibu. Nafkiri atakuwa amekuelewa 😀na ambayo haizimi ghafla huwa inafanyaje, inakuimbia kwanza wimbo wa utaisoma namba wa CCM?
ushasema inakupa warning, halafu unasema imezima ghafla, hivi tatizo ni shule za kata au vichwa vingine DNA helix inazunguka anti-clockwise?
Kwani nyingine zikiwa battery low zinazimaje?Yah,zikishakua battery low,znakupa warning ukiipuuzia znazma ghafla.
Hapana mkuuNasikia Lenovo huwa zinazima ghafla tu...
Usiwe tapeli mbona picha siyo ya pc yak
Duuu mbona bei " rahis ivyo" hautapata hasara kwel au umeamua kusaidia tuuuu?Tsh 650,000
Ndio yenyewe mkuuUsiwe tapeli mbona picha siyo ya pc yak
Unaihitaji mkuu?Duuu mbona bei " rahis ivyo" hautapata hasara kwel au umeamua kusaidia tuuuu?
[emoji1] [emoji1] [emoji1] najaribu ku immagine hizo strand zitakuwa na shape ganina ambayo haizimi ghafla huwa inafanyaje, inakuimbia kwanza wimbo wa utaisoma namba wa CCM?
ushasema inakupa warning, halafu unasema imezima ghafla, hivi tatizo ni shule za kata au vichwa vingine DNA helix inazunguka anti-clockwise?