Ram 3,hard disc 253,processor 2,bei laki 4 maelewano yapo
kwa anayetaka anipm
hp pavilion g61,model G61kaka ni kweli HP lakini
mbona hujamalizia HP nini mfano hp 6030s sasa umetaja tuu hp maana hata
dell ni dell ila kuna dell optiplex 5555 au toshiba satelaite *****
sasa wewe una uza hp nini maana ninashida na hp