Hii ya zamani sana, huwezi kuifanyia update nyingi, kupata mteja ni kipengele labda ambaye hajui kabisa computer, sogea machinga complex kachukue 150k au 100k chaap....wenyewe wansuzia ma-dj wa mtaani au spea.

Hizi simu jana ni replacement tosha ya hizo laptops.
Tena na hivi simu janja zinakopeshwa,
Yaani unatakiwa uwe na elfu 30 tu kama down-payment umepata simu