Karibu nikuuzie kuku wa kimalawi 20 wanamiezi 2 na wiki 2 chanjo wamepata kila kuku m1 elfu 15 ni wakubwa nipo tabata mawenzi kwa mawasiliano zaidi nipigie no 0718343299View attachment 3087734
Hawa ni chotara waganga hawawataki😂😂😂Kwa zindiko au uganga hao wazuri sana,maana nyeusi yake imekolea vizuri.