adam kayombo
JF-Expert Member
- Oct 3, 2014
- 262
- 140
Mmh, makubwaUza kuku wako bila kuathiri biashara yetu ya mbuzi na ng'ombe. Nyama nyekundu unahusiana vipi na kuku wako.
Biashara yenu ya mbuzi na ng'ombe wa kwenye keyboard?Uza kuku wako bila kuathiri biashara yetu ya mbuzi na ng'ombe. Nyama nyekundu unahusiana vipi na kuku wako.
Wenzangu unawajua?Biashara yenu ya mbuzi na ng'ombe wa kwenye keyboard?
Na wewe weka YouTube kama mfanyabiashara mwenzako alivyofanya.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23]Sio hao tuliozoea mkuu, huyu kamaanisha kuku wa kienyeji jamii ya ndege[emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2445][emoji2445][emoji2445][emoji377][emoji377][emoji377]Ukisema kuku wa kienyeji mie mawazo yanaenda mbali sana. Acha tu...!
Acha ujinga wewe jamaa.Kula Kuku wakienyeji kwa afya bora. epuka kula nyama nyekundu. Nyama nyekundu sio nzuri kiafya. Kuku ninzuri kwa afya yako. NAUZA KUKU WAKIENYEJI WENYE SIFA ZOTE. Wana uzito Wa kilo 4 hadi 5. Simu 0714206767. Angalia. YOU TUBE. #KAYOMBO95KUKU. View attachment 1156839
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23]Sio hao tuliozoea mkuu, huyu kamaanisha kuku wa kienyeji jamii ya ndege[emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2445][emoji2445][emoji2445][emoji377][emoji377][emoji377]
Mmh, makubwa
Sawa mkuuAcha ujinga wewe jamaa.
Unaijua nyama nyekundu utamu wake?
Ushawahi kula mbuzi wa kuchoma wewe..?
Ushawahi kula mchemsho wa supu ya ng'ombw wewe..?
π π π π π πUkisema kuku wa kienyeji mie mawazo yanaenda mbali sana. Acha tu...!
Hawa mbona kama Sasso na Kuroiler Mkuu eti au mimi ndiyo sijui.Kula Kuku wakienyeji kwa afya bora. epuka kula nyama nyekundu. Nyama nyekundu sio nzuri kiafya. Kuku ninzuri kwa afya yako. NAUZA KUKU WAKIENYEJI WENYE SIFA ZOTE. Wana uzito Wa kilo 4 hadi 5. Simu 0714206767. Angalia. YOU TUBE. #KAYOMBO95KUKU.
View attachment 1156839