Mbeya Kiuenyeji
Member
- May 6, 2019
- 5
- 1
Kupata pesa piaNia yako kupata pesa au kupunguza idadi upate ratio.
Kama ni kupata ratio Gawa bure
Kupata pesa pia
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Nia yako kupata pesa au kupunguza idadi upate ratio.
Kama ni kupata ratio Gawa bure
Napatikana Igurusi, Mbeya. Unaweza kununua pungufu, ila wakichukuliwa wote kwa pamoja itapendeza.Kamilisha tangazo mbeya sehemu gani??? Na je mnunuzi lazima anunue wote47???
Sawa, ushauri wako nitaufanyia kazi. AsanteUsiuzegawa bule
Hongera kwa kuongeza siku[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Umenichekesha sana