Nauza kiwanja Tshs 4,000,000/= (Milioni Nne)

Nauza kiwanja Tshs 4,000,000/= (Milioni Nne)

ligimilo

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2012
Posts
301
Reaction score
75
Nauza Kiwanja kwa bei ya Tshs 4,000,000/= (Milioni nne). Kipo Pugu Mwakanga, kina ukubwa wa mita 40 kwa mita 20. kama vp nicheki kwa namba 0713-632526
 
vp mzee kiko surveyed au? Km ni surveyed nitakupigia tuongee,ili ikiwezekana tuuziane!
 
Kama nilivyosema awali kiwanja hiki kipo Pugu Mwakanga, nahakijawa "surveyed" ila eneo kubwa la jirani limekuwa surveyed na ndipo mahala walipohamishiwa watu wa Kipawa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom