Nauza kiwanja Toamgoma

Nauza kiwanja Toamgoma

Muwe makini kwa twangoma maana utapeli imekuwa mkubwa mi naishi huko
 
kati ya eneo nisilolipenda kuishi au kungenga hapa tz, ni kigamboni, pili zenji. hata mtu akiniuzia kiwanja huko huwa naweka tu thamani iongezeke nije kuuza badae. sikupendi balaa.
Hujalazimishwa. Tuwe wastaarabu katika mitandao ya kijamii. Wewe kama huhitaji usijibu bandiko. Mahala pa kuishi ni chaguo la mtu. Inategemea pia unashughuli gani na wapi. Kwa anaefanya shughuli city centre Kigamboni ni dakika chache tu anafika hata akitokkea Toangoma ni 20 minutes mpaka ferry. Hakuna stress za foleni. Sembuse unaeka Tegeta stress za foleni balaa.
Pambana na hali yako usiingilie uamuzi wa mtu mwingine. Kwanza hukutoa hata sababu zaidi ya kuwa na chuki zisizo na mashiko.
 
1 feet = 0.3 meters

Kiwanja hiko ni 21m × 18m = 378 square meters.
Ina maana square meter moja inauzwa 18,700/= Tshs.

Very expensive for that slope man....

5m itapendeza zaidi...
Kama unayo hiyo njoo tuongee business
 
Back
Top Bottom