chichiboy1
JF-Expert Member
- Aug 22, 2015
- 1,396
- 1,887
Kipo Toangoma mtaa wa Masaki ,sio mbali na stand kuu ya Toangoma na ni karibu na shule ya sekondari, ukubwa wa eneo ni futi 60 kwa 70. Hakina hati na bei yake ni tshs million Saba (7,000,000/=)..Nicheki pm kwa mawasiliano zaidi.
N.B. Tunaweza kufanya exchange na Toyota ambayo ni Hatchback..
N.B. Tunaweza kufanya exchange na Toyota ambayo ni Hatchback..