Nauza kiwanja Tanga maeneo ya Kange

Nauza kiwanja Tanga maeneo ya Kange

Y2k

Member
Joined
Apr 21, 2012
Posts
77
Reaction score
27
Nauza kiwanja maeneo ya Kange Tanga nyuma ya Ekenforde University umbali wa mita 800 toka chuo kilipo kipo kwenye mapimo,ukubwa ni 30 kwa 20 .Bei kinaanzia 7 million. Maelewano yapo kwa anayehitaji anaweza kuni PM, tutapeana contact kwa ambaye yupo serious anahitaji.
 
Bei kubwa sana hiyo, utafikiri kange ipo dar kha! Nani aliwaambia wote mtatajirikia kwenye udalali wa ardhi ya makazi?
 
jinga wewe 20 kwa 30 milioni saba wew serikali walikuuzia sh ngapi???
 
Kange naifahamu ndo maana namshangaa na bei zake za ajabu ajabu. Bei ya ardhi kwa jiji la Tanga bado zipo reasonable sana, jamaa kama hawa ndio huwa wana inflate bei ili wapate cha juu
jinga wewe 20 kwa 30 milioni saba wew serikali walikuuzia sh ngapi???
 
Hapo pahala panajengwa kiwanada kipya cha simenti (RHINO) na stand mpya

Lakini sehemu anayoieleza ni opposite na panapojengwa kiwanda na stand. Anyways bei aliyoweka ni kubwa, kiwanja cha ukubwa alosema chaweza kuwa 4 million
 
Naungana na wewe bw.kwisimla ila me ninamabadiliko kidogo anatakiwa auze japo kwa tatu au tatu unusu hapo ni constant.
 
Bei ya kiwanja halali hapo ni 3 kamili au 3.5 milioni...kinyume na hapo ni ufisadi tuu!!!
 
Jamani acheni kumzodoa mwenzenu, hiyo ndo bei ya viwanja kange kwa taarifa yenu, nafikiri Dar tu ndo viwanja bei ghali, unajua Morogoro sasa hivi maeneo ya Tungi ni sh mil 7, wakati kulikuwa kichakani kbisa? chezea ardhi wewe, Muheza kwenyewe viwanja nil 4 vilivyopimwa hapa naongelea medium density!
 
Taratibu Mkuu, juzi mtu kalipia Kange kwa 3.8M robo ekari na msingi ulishaanzishwa! sasa hiyo saba mi sijaielewa kabisaaa, labda kama na wewe una maslahi nayo mkuu!
 
Taratibu Mkuu, juzi mtu kalipia Kange kwa 3.8M robo ekari na msingi ulishaanzishwa! sasa hiyo saba mi sijaielewa kabisaaa, labda kama na wewe una maslahi nayo mkuu!

mimi nilinunua 40x40 kwa milioni moja na laki nane mwezi wa nne mwaka jana
 
Jamani naombeni mnisaidie namimi ninahitaji kiwanja Kange au Nguvumali
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom