bazilio123
New Member
- May 25, 2019
- 3
- 0
Nauza kiwanja kikubwa na kizuri kilichopo karibu kabisa na barabara ya mtaa.Kiwanja kina ukubwa wa nusu hekari.Kipo KIGAMBONI uvumba.Bei ni mil 35 na maelewano yapo.Kama umependa njoo 0786167143 au 0677291257