Chopra1235
Member
- Jan 5, 2019
- 14
- 18
ninakiwanja vikindu kazole futi 50 kwa 50 kipo karbu na barabara maji na umeme vinapatikana kirahis sana
Bei 4.5M
Bei 4.5M
futi au mita?futi 50 kwa 50
ninakiwanja vikindu kazole futi 50 kwa 50 kipo karbu na barabara maji na umeme vinapatikana kirahis sana
Bei 4.5M
dakika tano kutoka barabarani.....hata ukiamua kujenga mchanga unapata hapo karibu........na maji sio shida kabisa.Una maana karibu mita 16 kwa 16? Mbona kiwanja kidogo sana hiki bosi? iko 1.5m? kama kweli kiko karibu na bara bara.,
Ipo 1.5m