nauza kiwanja mwanza

nauza kiwanja maeneo ya kanya kina ukubwa wa 21#30 bei 1 mil.
Kanya ndo maeneo gani..ni mala yangu ya kwanza kusikia sehemu inaitwa Kanya.mimi ni Buhongwa,taja vizuri maeneo nielewe
 
nauza kiwanja maeneo ya kanya kina ukubwa wa 21#30 bei 1 mil.
Kanya ni mwanza?

Weka vizuri tangazo mkuu!

Taja eneo ambalo ni common
Eneo kama limepimwa
Huduma kama umeme,maji, main road
Usije kuwa unauza eneo la JWT
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom