Nauza kiwanja Mkuranga jamaaani

Nauza kiwanja Mkuranga jamaaani

Nina shida napokea ht nusu na nyingine utamalizia bei ni mill 1.3

Sasa ndugu yangu sijui hata utauzaje kama hivi! Weka ukubwa wake mfano mita 20X100 etc. Kipo umbali gani from road. Shibisha maelezo yako Mkuu.
 
Pia aweke na copy ya title deed Mkuranga yote imeuzwa kwa wawekezaji wa gesi,atutaki changa la macho
 
hakina chenga mkuu,,,,,,,,,,nina mpk hati ya kiwanja kutoka kwa mwenyekiti wa kijiji na hayo maeneo hayajauzwa maeneo unayosema ww yapo tofauti na makazi ya watu
 
mi nauza shamba la minanasi heka 3 lipo km 10 kutoka kimanzichana lipo jiran na shule ya msingi na sekondari bei ml 15
 
kipo KIPALANG'ANDA KWA RUBAHA NI ROBO EKARI KIPO PALE KITONI UKISHUKA TU KWENYE GARI UTAKIONA
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom