Nauza Kiwanja Kimere - Mapinga Km 1.5 kutoka barabara ya Bagamoyo na mita 500 Kutoka barabara inayoenda Kibaha. Ukubwa wa Kiwanja ni M 22 kwa 30. Bei ni Mil. 8,500,000. Kiwanja ni changu na hakina mgogoro wowote. Dalali hatakiwi
Kwa maelezo zaidi piga 0714 078881
Karibuni sana.