KIWANJA KINAUZWA
sqm 2009
kina hati
kipo kwenye kona ,
Kinapakana na viwanja vya viongozi wa serikali
Tayari ujenzi unaendelea ktk maeneo jirani
kinauzwa 72m
kwa melezo zaidi km kuonana na mmiliki nk, Tuwasiliane 0657 145555 , 0755 099 291 & 0686 200 117
KIWANJA KINAUZWA
sqm 2009
kina hati
kipo kwenye kona ,
Kinapakana na viwanja vya viongozi wa serikali
Tayari ujenzi unaendelea ktk maeneo jirani
kinauzwa 72m
kwa melezo zaidi km kuonana na mmiliki nk, Tuwasiliane 0657 145555 , 0755 099 291 & 0686 200 117
Uncircumsized.....!!!
Most arrogant i ever thought...
Hujui unaandika nn.... tapeli ww....
Huyu tapeli wana jf stay away.... tapeli mkubwa huyu...
Asante sasa si unipeleke polisi , umasikini wako usiwe kigezo cha kutukana wengine , kiwanja kipo kibada eneo hili kwa sasa linajengwa nyumba za kisasa . we seme tukutafutie kiwanja mabwe pande cha 6m tutakutafutie lkn vizuri kutukana na kama ni tapeli polisi wapo nipeleke.Uncircumsized.....!!!
Most arrogant i ever thought...
Hujui unaandika nn.... tapeli ww....
Huyu tapeli wana jf stay away.... tapeli mkubwa huyu...
Uncircumsized.....!!!
Most arrogant i ever thought...
Hujui unaandika nn.... tapeli ww....
Huyu tapeli wana jf stay away.... tapeli mkubwa huyu...
Asante sasa si unipeleke polisi , umasikini wako usiwe kigezo cha kutukana wengine , kiwanja kipo kibada eneo hili kwa sasa linajengwa nyumba za kisasa . we seme tukutafutie kiwanja mabwe pande cha 6m tutakutafutie lkn vizuri kutukana na kama ni tapeli polisi wapo nipeleke.
hapana mi muuzaji wamiliki ndiyo huwa wanailetea niuzeViwanja vyote vya kwako?
ha! ha! majuha bwanaHivi wewe ni tajiri ama? mana kila mtu unamwambia masikini wapelekee Matajiri wenzio sasa wewe unawaza kwa kutumia kalio ndio shida na njaa njaa zako ndio zinakuleta hapa ili utapeli watu...mtu wa hovyo sana wewe....
hapana mi muuzaji wamiliki ndiyo huwa wanailetea niuze
unajua mkuu, mimi ofisi yangu inauzwa property kwa ajiri ya kupata commission na siyo kuongoze bei kama wengi wanavyodhani . sasa kweli mtu analeta bidahaa yake anataja bei sasa najaribu kumshauri wengine wanaelewa wengine hawaelewi . hata asipoelewa huwa siachi kazi yake naitangaza wako wateja wanapiga sana kelele na pia kuna wateja amba huwa hawazungumzi chochote wao wanapiga cm na kuja kuona kisha kuonana na mmiliki unajua bei huwa inazungumzika mfano niliwahi kutangaza hapo kiwanja cha sqm 2672 kwa 24m . jamaa kapiga cm nimempeleka kaona wamekutana na mmiliki na kanunua kwa 10m. mi nashangaa nashambuliwa bila kujua kosa languNa unakubali wakupe bei za ajabu hivyo? Au unapanga mwenyewe?
unajua mkuu, mimi ofisi yangu inauzwa property kwa ajiri ya kupata commission na siyo kuongoze bei kama wengi wanavyodhani . sasa kweli mtu analeta bidahaa yake anataja bei sasa najaribu kumshauri wengine wanaelewa wengine hawaelewi . hata asipoelewa huwa siachi kazi yake naitangaza wako wateja wanapiga sana kelele na pia kuna wateja amba huwa hawazungumzi chochote wao wanapiga cm na kuja kuona kisha kuonana na mmiliki unajua bei huwa inazungumzika mfano niliwahi kutangaza hapo kiwanja cha sqm 2672 kwa 24m . jamaa kapiga cm nimempeleka kaona wamekutana na mmiliki na kanunua kwa 10m. mi nashangaa nashambuliwa bila kujua kosa langu
Asante sasa si unipeleke polisi , umasikini wako usiwe kigezo cha kutukana wengine , kiwanja kipo kibada eneo hili kwa sasa linajengwa nyumba za kisasa . we seme tukutafutie kiwanja mabwe pande cha 6m tutakutafutie lkn vizuri kutukana na kama ni tapeli polisi wapo nipeleke.
kutoka barabarani unakatikshia pale full shangwe ni km 1 . chuo cha wakorea kibada sijafahamu kilipo ila nafahamu eneo la michezo na shule , kiwanja kipo mwisho kabisa . siku ukiweza pita hapa kinondoni A nikuoneshe ramaniKibada hipi? Kuna umbali gani kutoka Shule/Chuo kikuu cha Wakorea.
kutoka barabarani unakatikshia pale full shangwe ni km 1 . chuo cha wakorea kibada sijafahamu kilipo ila nafahamu eneo la michezo na shule , kiwanja kipo mwisho kabisa . siku ukiweza pita hapa kinondoni A nikuoneshe ramani