Nauza kiwanja Luguluni milion 500

Nipigie simu nikupeleke ukaione eneo au mtume muakilishi wako boss.
 
Huko Luguruni hicho Kiwanja ni Cha kuijenga nyumba au Jengo au ni Kiwanja Cha Mpira Kama vile Cha Benjamin William Mkapa na Viwanja vya Soka vya Jamhuri vya huko Morogoro na Dodoma???

Bei hii ni kubwa sana kupita kiasi ukilinganisha na ukubwa wa kiwanja chenyewe, labda uendelee kusubiri hadi miaka 30 ijayo.
 
Okay vizuri lakini Mwenye kuhitaji ataenda kupaona na atakubaliana na Bei yangu.

Sisi ambao hatuna Hela Bana tunapenda kukosoa kitu bila kuona uhalisia wake.
 
Daah Sisi madalali Bana asee nimeona Kuna mtu amepost hili eneo Kwa Shilling Bilion 1

Daah wakuu tunataka Hela lakini sio kama hivi biashara ya mtu inachelewa kutokana na tamaa ya Bei kubwa.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…