Livanga
JF-Expert Member
- Apr 15, 2010
- 475
- 156
Wandugu nauza kiwanja chenye ukubwa wa mt 25x30 kipo kata ya Goba kitongoji cha kulangwa along barabara ya kwenda wazo. Kinafikika kwa njia nyingi kupitia mbuyuni, goba( tangi bovu au mbezi ya kimara). Bei milion 8 tu.
Kwa mteja aliye serious tu nipigie namba 0714500004
Kwa mteja aliye serious tu nipigie namba 0714500004