B bigmukolo JF-Expert Member Joined Mar 6, 2012 Posts 602 Reaction score 2,241 Aug 19, 2015 #1 Jamani wa Tz nauza kiwanja kipo Nyegezi jijini Mwanza. Mwenye uhitaji anicall kwa 0763_002227
B bigmukolo JF-Expert Member Joined Mar 6, 2012 Posts 602 Reaction score 2,241 Aug 19, 2015 Thread starter #2 Being ni 9 million ila pungyzo lipo
hekimatele JF-Expert Member Joined May 31, 2011 Posts 9,889 Reaction score 2,805 Aug 19, 2015 #4 kina hati?
funzadume JF-Expert Member Joined Jan 28, 2010 Posts 13,650 Reaction score 21,522 Aug 19, 2015 #5 Weka maelezo sahihi kiwanja cha ukubwa gani je kina hati au eneo halijapimwa pia kipo mlimani au sehemu tambarare pia waweza kuweka picha. Hii ni marketing sio bla bla unaweka kitu na maelezo kamili watu wanavutiwa wanakutafuta. Tuamke watanzania
Weka maelezo sahihi kiwanja cha ukubwa gani je kina hati au eneo halijapimwa pia kipo mlimani au sehemu tambarare pia waweza kuweka picha. Hii ni marketing sio bla bla unaweka kitu na maelezo kamili watu wanavutiwa wanakutafuta. Tuamke watanzania
Nelson Kapaya Member Joined Aug 7, 2014 Posts 99 Reaction score 15 Apr 10, 2016 #6 Kiwanja kinauzwa maeneo ya airport ilemela mwanza. Ukubwa sqm 266. Bei 2ml. 0753101293