Ambapo ni sawa na 15m x 12m.Kwa bei hiyo sio mbaya maana lazima ujenge banda hapo la vyumba viwili na geti.Maana Nyumba kamili ni issue.
Hembu weka picha,Halafu tuambie kama kina hati,maana najua maeneo yale mengi viwanja utata utata,hasa kwenye njia za wazi ambazo wamiliku hurejea tena kuchakachua na kuuza,mwisho wa siku kazi inakuwa pevu