Nauza Kiwanja Changu

Nauza Kiwanja Changu

BizMogul

Member
Joined
Feb 21, 2014
Posts
42
Reaction score
11
Wakuu Habari,
Kutokana na shida fulani inayonikabili,nimeamua kwa hiari yangu nikuze kiwanja changu kilichopo Goba Kinzudi
umbali wa kilometa tatu na nusu kutoka masana Hospitali,kiwanja hicho kimezungukwa na nyumba kwa pande tatu na ni maeneo mazuri kwa mtu mwenye nia ya kujenga ghorofa au apartments:
deatils zaidi ni hizi hapa:
Size : 47x24 Meters
eneo:Goba Kinzudi
Status:Kimepimwa na kina mawe pia nimezungushia fence ya wavu na nguzo
Bei: 35 Million
Maji na umeme ni wa kuvuta tu pia nina result za bore hole survey

Kwa mawasiliano unaweza kunipigia
 
Features zimetulia, eneo limetulia ila BEI?? Wish you all the best lakini.
 
Mkuu hati ipo?inaweza kuwa mawe yapo ila hati haipo!ufafanuzi tafadhali,na pia 20m unachukua?tumalize bness
 
Mkuu hati ipo?inaweza kuwa mawe yapo ila hati haipo!ufafanuzi tafadhali,na pia 20m unachukua?tumalize bness
Mkuu hati ipo kwenye process ila offer ipo,
hiybei iko chini bro ongeza tuongee biashara kaka
 
Kiwanja chako kina sifa nzuri sana Mkuu. Tatizo noti. 15 chukua Mkuu tuwasiliane
 
Kiwanja chako kina sifa nzuri sana Mkuu. Tatizo noti. 15 chukua Mkuu tuwasiliane

Mkuu nashkuru kwa ofa yako sio ndogo ila kwa value ya eneo lenyewe bado uko chini kaka Jiongeze mkuu.,..
 
Back
Top Bottom