ChatoMkoa gani!?
Mkoa gani!?
KILA SIKU TUNAWAELIMISHA UKITAKA KUTOA VIPIMO VYA KIWANJA WEKA KWENYE MITA,HATUA SIO STANDARD MAANA KUNA HATUA ZA HASHIM THABIT NA EMOLO WA PEPE KALE.Nauza kiwanja changu kipo mbagala msongola kinasifa zifutazo
Ukubwa miguu 20 *20
Kipo pembezoni na bara bara ya mtaa
Huduma za afya na shule zipo karibu
Kipo tambarale kabisa
Umeme upo
Maji yapo karibu
Bei m 3.2 unaruhusiwa kuzungumza maana mim ndo muhusika.View attachment 737169
KILA SIKU TUNAWAELIMISHA UKITAKA KUTOA VIPIMO VYA KIWANJA WEKA KWENYE MITA,HATUA SIO STANDARD MAANA KUNA HATUA ZA HASHIM THABIT NA EMOLO WA PEPE KALE.
Hapo kwa wastani ni chini ya 20*20mSawa mkuu nashukuru kwa ushauri mzuri
Haaaaaahaaaaaa eti hatua za Emolo wa Pepe Kale haaaaahaaaaaKILA SIKU TUNAWAELIMISHA UKITAKA KUTOA VIPIMO VYA KIWANJA WEKA KWENYE MITA,HATUA SIO STANDARD MAANA KUNA HATUA ZA HASHIM THABIT NA EMOLO WA PEPE KALE.
Usisikitike kuuza na kununua hakutaisha hadi mwisho wa dunia. Hata leo kama una pesa na uhitaji unapata kiwanja/nyumba posta/dsm au katikati ya paris, london etc. Ndio maana halisi ya asset. Usiogope kuuza kama kuna profit na una mipango mbadalaNinaposikia mtu anauza asset Kama Kiwanja ninaumia sana
Anayeuza kwa profit sina neno mkuu.Usisikitike kuuza na kununua hakutaisha hadi mwisho wa dunia. Hata leo kama una pesa na uhitaji unapata kiwanja/nyumba posta/dsm au katikati ya paris, london etc. Ndio maana halisi ya asset. Usiogope kuuza kama kuna profit na una mipango mbadala
Nawewe unaeyumba sababu yaIpi ni bei halisi kati ya 3.2 na 3.3 ya kwenye post ile nyingine?
Kama wewe ni mmiliki mbona bei zinacheza cheza?Au dalali bwana wewe?
Nawewe unaeyumba sababu ya
Laki moja si mnunuzi si lolote.
KILA SIKU TUNAWAELIMISHA UKITAKA KUTOA VIPIMO VYA KIWANJA WEKA KWENYE MITA,HATUA SIO STANDARD MAANA KUNA HATUA ZA HASHIM THABIT NA EMOLO WA PEPE KALE.