NAUZA KIWANJA CHANGU-MPIJI MAGOHE

NAUZA KIWANJA CHANGU-MPIJI MAGOHE

SOORI MBISE

Senior Member
Joined
Mar 11, 2012
Posts
152
Reaction score
106
Nauza kiwanja chenye ukubwa wa urefu mita 40 upana mita 25. Kipo Mbezi mpiji magohe kituo cha kwa Stephen. Bei yake ni 12m hakuna dalali mimi ndiye mmiliki halali. Ukija nitakupa ushahidi wote wa serikali za mitaa, majiarani na mimi mwenyewe ni mtumishi wa serikali. Nitakupeleka hadi kazini kwangu upajue ili kujihakikishia kuwa hakuna utapeli. Kiwanja kipo jirani na barabara hakina mlima kabisa kipo tambarare. Kuna umeme na maji. majirani wamejenga vizuri. ukihitaji mawasiliano nitafute PM. Dalali hatakiwi maana sina posho ya kumlipa.
 
Siyo kwa vyuma hivi uipate hiyo 12m
 
Fanyeni kazi. yahani mtu toka hasubuhi hadi jioni ukimcheki yupo online tu. EFD ukihitaji unapata.
Punguza jazba mkuu wengine tumeajiri watu wa kutufanyia kazi aftr all tusingekuwa online tusingeona hilo tangazo lako.
 
ml12 naenda chanika nanunua kiwanja na foundation naweka na hela ya mafuta inabaki kweeeeendraa
 
Kila mtu anachagua anapopenda kuishi. Hapa mjini kuna viwanja hadi vya bilioni na ushee na vipo pia hadi vya laki nane. siyo kila mtu anapenda chanika. kila mmoja anachagua kuishi anapopapenda.
 
Punguza jazba mkuu wengine tumeajiri watu wa kutufanyia kazi aftr all tusingekuwa online tusingeona hilo tangazo lako.
sina jaziba mkuu. Kuna figure hapa JF zinacoment kila thread kuanzia hasubuhi hadi jioni. Kama kiwanja hakikufai si ukae kimiya.
 
ml12 naenda chanika nanunua kiwanja na foundation naweka na hela ya mafuta inabaki kweeeeendraa

Kweli una maisha magumu!

Hiyo hela haitoshi hata ada ya mhula mmoja shule niliyosoma.

Pole sana mkuu.
 
Mkuu Soori!

Hicho kiwanja kina hati?
kimepimwa?
kipo Km ngapi kutoka barabara kuu?
 
Mkuu Soori!

Hicho kiwanja kina hati?
kimepimwa?
kipo Km ngapi kutoka barabara kuu?
Mkuu hakijapimwa. Kina hati ya mauziano ya serikali ya mtaa. Kutoka barabara kuu ya mpigi mgohe hamna hata km 1. Sina uhakika ni mita ngapi kutoka barabarani lakini kwa makisio ni kama mita mia nne hivi.
 
Mimi sina hera ngoja waje wenye kisu kikali wale nyama nzuri.. Kimfaacho mtu chake buana
 
Back
Top Bottom