Kijana_Mstaarabu
Member
- Jun 30, 2017
- 9
- 1
Sawa mkuu sipati picha magodoro uliyotupaMagodoro ni kitu cha kutupa baaada ya kutumia. Msimbukizane magonjwa
Sawa mkuu sipati picha magodoro uliyotupaMagodoro ni kitu cha kutupa baaada ya kutumia. Msimbukizane magonjwa
Itakuwa ni makombora yaliyofeli katika harakati za kutengeneza familia..Godoro mbona limejaa madoa ?
Sent from my iPhone6 using JamiiForums mobile app
Sishangai mtu kama wewe ukawa unanalia ngozi ama mkeka, kejeli hazifaiMagodoro ni kitu cha kutupa baaada ya kutumia. Msimbukizane magonjwa
Hapana siyo kweliMkuu humu Jf kila mtu mambo safi.
ahahahaMagodoro ni kitu cha kutupa baaada ya kutumia. Msimbukizane magonjwa
Godoro mbona limejaa madoa ?
Sent from my iPhone6 using JamiiForums mobile app
mtu chake halalHabari wana Jf, nauza kitanda 5*6 na godoro lake nchi 8 vyote tsh. 280,000/=
Nipo temeke Dar.
Namba ya simu. 0715253904 au 0744774462
Ahsanteni na karibuni sana!.
View attachment 543504
View attachment 543502
View attachment 543503
Post sent using JamiiForums mobile app
Guest unaendaga na godoro lako?Magodoro ni kitu cha kutupa baaada ya kutumia. Msimbukizane magonjwa