Sasa mtu hasemi yuko wapi, hivyo vitu viko wapi.... daaa! dunia ina mambo!!!!!Nauza kitanda na godoro laki moja kwanzia tarehe 1-4-14 nikihama.piga 0683-318-021.vyote ni vipya.miezi miwili vimetumika.
yani kuna thread zingine kama mtu anapost akiwa anakamua mzigo wa constipation:thinking:
wakuu nimeongea nae mzigo upo mikochen a kwa nyerere kitanda futi 3 na godoro lake. Nawasilisha
Me mfanyabiashara wa magodoro na vitanda.
godoro la fet 3 jipya ni 45,000 na kitanda kipya cha feet3 70,000 kama ni hardwood na kama ni softwood ni 45,000:
So kama ni kwel unatka kuviuza ntakupa 65,000 kwa vyote godoro na kitanda nichek 0764616353