N nyirex Member Joined Mar 31, 2017 Posts 7 Reaction score 1 Jul 17, 2017 #1 Nauza kinu cha mashine ya kusaga, nilichongesha sido kwa ajiri ya kuanzisha biashara ya kusaga, sijawah kukitumia Kuna emergency nimeipata,, ambaye yupo interested anicheki Post sent using JamiiForums mobile app
Nauza kinu cha mashine ya kusaga, nilichongesha sido kwa ajiri ya kuanzisha biashara ya kusaga, sijawah kukitumia Kuna emergency nimeipata,, ambaye yupo interested anicheki Post sent using JamiiForums mobile app
for life JF-Expert Member Joined Sep 22, 2014 Posts 3,397 Reaction score 4,447 Jul 17, 2017 #2 Duh umemaliza tangazo picha hamna bei hakuna hakuna hata taarifa kukihusu yaani ukubwa bro hutauza humu kwa hyo style
Duh umemaliza tangazo picha hamna bei hakuna hakuna hata taarifa kukihusu yaani ukubwa bro hutauza humu kwa hyo style