nauza king'amuzi cha star times

mbona mnanichanganya,wengine DSTV,wengine startimes,naona wote nguvu sawa,hebu tunyumbulishieni basi,kwa kutaja uzuri na ubaya wa makampuni yote.Na yasiwe malumbano bali mtushawishi na hoja zenu.Nawasilisha....
 
Binafsi hata unipe bure sichukui, mana ni bora kuwa na antena ya tubelight kuliko huo upuuzi wa hao jamaa
 
eBWANA HIKO KAMPE DEMU WAKO..LABDA ATAFURAHIA HIZO CHANNEL ZA KUBOA KUPITA MAELEZO...........I HATE THEM
 
eBWANA HIKO KAMPE <span style="color: rgb(255, 0, 0);">DEMU WAKO..LABDA ATAFURAHIA HIZO CHANNEL ZA KUBOA KUPITA MAELEZO...........I HATE THEM</span><span style="color: rgb(255, 0, 0);"></span>
 
eBWANA HIKO KAMPE DEMU WAKO..LABDA ATAFURAHIA HIZO CHANNEL ZA KUBOA KUPITA MAELEZO...........I HATE THEM
 
bora ununue dish la local channels angalau utapata channels nzuri za free kuliko za kulipia kwenye star time ujinga mtupu najilaumu sana kununua.


Mkuu bado wajanja wa jf mwahangaika na ving'amuzi saizi yenu ni dstv. top tv. canal nk inawezekana kuangalia bule
 


Kwa mtu anayejitambua huwezi kununua king'amuzi cha star times! na wewe ni mjanja ndio maana una-upgrade sio?!

Star times = TBC = CCM = Serikali inayofinya uhuru wa habari (read Mwanahalisi + Kuondolewa kwa chanel ya Emmanuel TV)

So very soon star times itakuwa na chanel 2 tu yaani TBC na wafadhili wao CCTV na cartoons tupu, no value for money; not worthy tzs 60,000/=; useless gadget!!
 

Nilishakigawa bure zamani sana...
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…