Kichwa cha habari chahusika nauza dstv decorder set kwa Tsh. 70,000/- but inapungua kwa maelewano kwa anayehitaji anicheki kwa namba 0625544781
Napatikana Dar es Salaam
Issue sio kukimiliki issue ni malipo ya mwezi ndugu siku za kwanza utajitutumua , picha clear kweli kweli lakini baada ya miezi mitatu .....maweeeeeeeeeeeee!!!!!!!!!!!
Mi sometimes huwa najipongezaga mwenyewe kwa ubishi.. mwezi wa nane unaelekea nusu sasa na bado niko mjini.. dstv mwaka wa pili unaelekea kuisha hakijawahi lala njaa..
Mi sometimes huwa najipongezaga mwenyewe kwa ubishi.. mwezi wa nane unaelekea nusu sasa na bado niko mjini.. dstv mwaka wa pili unaelekea kuisha hakijawahi lala njaa..