Wana jf.nipo boko dsm,nauza king'amuzi changu cha digitek.dukani kinauzwa 160000/= lakin kwa kuwa nina haraka mimi nakiuza kwa 110000/= tu.ni kipya,nakupatia na risiti yake.nimeamua kuuza maana natarajia kuhamishia makazi mkoani ambako hakuna signal zake!kama uko tayari nitafte kupitia 0753275322 au 0686655701.maelewano yapo.
kina chanel 18, TBC1,Chanel 10, Star tv,Capital tv,clouds tv,mlimani tv,ITV,Citizen tv,Aljazeera,CCTV9,Emmanuel tv,EATV,Africa tv swahili nk. (dtv na ubc zipo,zitakuwa hewan mda si mrefu, sifa zingine ni
kinarekodi
hakuna malipo ya mwezi(chanel zote ni bure).
bategereza,nimeamua kukiuza kwa bei ya chini ili nipate mteja haraka.binafsi nakipenda lakini ndo hivyo nakoenda kuishi mkoani bado coverage ya digitek haijafika.wee kama uko tayari nambie