Nauza kiatu cat original kabisa

Mbona kiatu kipo poa tu.....sio kila mtu anavaa kiatu kwa fashion wengine ni vya kazi.....watu kama hamna pesa tulieni tu kiatu 180k kwa wengine kawaida tu
nilichogundua vijana wengi wa humu ni wanafunzi wa chuo wao kila kitu wanaona hakiwezekani...bila boom mambo kwao hayaendi..anyways kiatu nimeshakiuza na kanunua mdau wa hapahapa jamvini.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…