Nauza kiatu cat original kabisa

Jaslaws

JF-Expert Member
Joined
May 31, 2011
Posts
6,016
Reaction score
5,301
habari wakuu nauza kiatu cat original kabisa kimenunuliwa UK kwa bahati mbaya hakijanitosha..ni namba 42.

bei 180000
 

Attachments

  • 20190125_204004.jpg
    113.3 KB · Views: 46
  • 20190125_203953.jpg
    99.8 KB · Views: 48
  • 20190125_203944.jpg
    93.9 KB · Views: 49
  • 20190125_203935.jpg
    96.4 KB · Views: 49
  • 20190125_203923.jpg
    91.3 KB · Views: 44
  • 20190125_203913.jpg
    95.7 KB · Views: 39
Ni kufunga mkataba wa maisha mkuu,
 
mkuu hiki kiatu sio cha fashion anyways haya bwana...
 
umasikini unao wewe mkuu, hali ulionayo usiipambanishe na wengine watu wanavaa viatu vya dola 2000 itakua hiki cha dola 50 mkuu? mbona watu wanakunywa bia za milion kisha wanakojoa wanaenda kilala,usifanye hivyo mzee, hata hayo masandles wanayoyavaa akina billgates usiyaone kwa macho tu ukadhani ni kama yale yanayouzwa na wachina kariakoo..
 
Teh teh teh! Don't panic dude. Hutaki kukubali umaskini ungekuwa tajiri usingekuja kuuza lakuchumpa hapa JF. Maskini sisi ni watu wa ajabu sana. Tuna struggle sana kuonekana matajiri ilhali hali zetu ni dhohofu ilhali. [emoji16]
Mungu akupe wepesi uuze Mali Mzee baba.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kama huna hela sema upewe bure sio unazungusha domo tu kama mtoto wa kike...aftal siwezi kupanic kwa mtu mwenyementality za kipuuzi kama zako...kama huna hela unapiga kimya tu.
 
Wee bana... Si kila anaevaa viatu anataka fasheni.. Nadharia ya kuibiwa haina mashiko.. Kuvichoka pia kapuni..

Unaanzaje kuchoka wakati ulinunua kufunga mkataba.

Mwone bado unapunga hewa tu
 
Eti la kuchumpa ha ha ha... La kupalama hilo!!
 
Hata kama ni Cat original lakini hakina mvuto. labda uimara lakini sio kwa hiyo bei. 18000 naweza kupata tims ya maana mtumba kwa 40 mpaka 50 nikachukua na raba za maana mtumba nikachukua nike kali Ya 30 mpaka 40/ adidas ya 50 na skachas ya maana nikaoneka nina pea nyingi za maana kuliko hiyo cat ya gereji.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
sasa ungekuwa tajiri si ungegawa bure tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona kiatu kipo poa tu.....sio kila mtu anavaa kiatu kwa fashion wengine ni vya kazi.....watu kama hamna pesa tulieni tu kiatu 180k kwa wengine kawaida tu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…