Nauza kabati na mlango wa aluminium

nkwila

Member
Joined
Apr 21, 2015
Posts
41
Reaction score
4
Ndugu zangu nauza mlango ya frame na kikabati cha ku display bidhaa bei ya mlango ni sh laki tano maelewano yapo kikabati ni laki mbili na nusu vyote vipo ktk hali nzuri. Samahani kesho nitaweka picha. Kwa mwenye kuhitaji plz tuwasiliane
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…