Nauza kabati la vyombo full mninga

Nauza kabati la vyombo full mninga

Morning_star

JF-Expert Member
Joined
Apr 21, 2018
Posts
6,009
Reaction score
17,457
Nauza kabati la vyombo full mninga. Urefu na upana foot 6. Unene (thickness) centimeter 48. Ni piece 2 kwa urahisi wa ubebaji na usafirishaji. Bei laki 4 tu. Bei ya dukani si chini ya 1.5mil. Kama unahitaji njoo PM
 
Picha hizi. Kama huko interested kwa biashara njoo PM
IMG_20190620_075125_3.jpeg
IMG_20190620_074152_4.jpeg
 
Hahaaaa Boss umeamua ku retreat!
Hapana. Nimehamia nyumba ambayo makabati ya vyombo yako stoo na jikoni ya kujengewa ukutani. Kwahiyo sina sehemu ya kuliweka ndo maana liko sebuleni kizembezembe kama unavyoona na bei yenyewe ya kutupwa
 
Mkuu upo makabe sehemu gani?

Karibu hill hapa tupate mbili tatu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom