Lilian pastory
Member
- Nov 9, 2018
- 9
- 3
- Thread starter
- #21
Inapendeza sana tu mkuu wangu ila iko chini sana ongeza ongeza. Kitu bdo mpya hyo sio used!Boss
hiyo nakupa laki tisa tu, kama ukiona inapendeza mwisho wa mwezi tunafanya biashara
Inapendeza sana tu mkuu wangu ila iko chini sana ongeza ongeza. Kitu bdo mpya hyo sio used!Boss
hiyo nakupa laki tisa tu, kama ukiona inapendeza mwisho wa mwezi tunafanya biashara
Ngoja mwisho wa mwezi ufike nitapima maji na unga halafu nitarudi kama bado itakuwepoInapendeza sana tu mkuu wangu ila iko chini sana ongeza ongeza. Kitu bdo mpya hyo sio used!
Sawa mkuu tutawasiliana. namba angu iko hapo kwa mawasiliano zaid!Ngoja mwisho wa mwezi ufike nitapima maji na unga halafu nitarudi kama bado itakuwepo
Naona umeamua kunipa na "FOR EXAMPLE" ya umbea wako, kwa kuwa tag hao jamaa. Sasa acha nikupe habar, huyo dadako yna2 nikikua mkubwa nikawa RAIS wa jamhuri ya muungano wa Tanzania, lazima nimpe Ukuu wa Mkoa au Unaibu Speaker au Uwaziri. [emoji6]
Ila sante shem kwa kunivua bukta, kwa kuwa tag hao watu. Nice to meet you too shem[emoji18]
1.5M punguzo lipoTaja bei.
Bei ya dukani ni kiasi gani?1.5M punguzo lipo
Kwa bei ya dukan hyo container 3 ni kuanzia 2.5M na kuendeleaBei ya dukani ni kiasi gani?