Nauza IST

emanuel kiduvilo

Senior Member
Joined
Aug 5, 2014
Posts
165
Reaction score
20
Toyota IST ni mpya hapa kwetu bei 12m kwa mawasiliano tumia hz no 0768359292 na 0652359291 maongez yapo,picha chin hapo
 

Attachments

  • 1414482531348.jpg
    72.4 KB · Views: 207
  • 1414482550350.jpg
    69.3 KB · Views: 199
  • 1414482562931.jpg
    66.6 KB · Views: 191
  • 1414482574773.jpg
    61.3 KB · Views: 182
  • 1414482609455.jpg
    78.8 KB · Views: 185
Sasa ulivyoandika kwenye title "IST" tu pekee kama neno ni ngumu kujua kuwa ni gari.
 
Maongezi ya nini weka fixed price!mambo ya maongezi huwa ni kwa watu wasio waaminif wajanja wajanja tu na lengo ni kuwapga watu
 
Kweli kununua gari ni bahati.
Nimepata cruiser vx kwa 14m.
Haina tatizo lolote zaidi ya mjamaa ana magari mengi anapunguza(chezea nshomile wewe)
Leo hii mtu anauza ist kwa 12m!!!
Yaani hapa nadorishia miezi 2 kisha naliuza si chini ya 25m narudi kwa vitz yangu.
Namba ni C_L
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…