H Halima Chande Member Joined Sep 9, 2018 Posts 6 Reaction score 0 Nov 25, 2019 #1 IST Nyeusi Mwaka 2005 Cc 1490 Km 121958 Rm spots Haina tatizo lolote Kawe Dar es salaam 0684 703 200 Bei ni Milioni 11.
IST Nyeusi Mwaka 2005 Cc 1490 Km 121958 Rm spots Haina tatizo lolote Kawe Dar es salaam 0684 703 200 Bei ni Milioni 11.
M mbu wa dengue JF-Expert Member Joined Jun 2, 2014 Posts 9,909 Reaction score 13,288 Nov 25, 2019 #2 Halima Chande said: IST NYEUSI MWAKA 2005 CC 1490 KM 121958 RM SPOTS HAINA TATIZO LOLOTE KAWE DSM 0684703200View attachment 1271836View attachment 1271837 Click to expand... Mkuu ingekuwa vema utaje na bei yake ili watu wahamasike kukutafuta. Ukitaja bei mtu anapata confidence kwamba anaimudu au haimudu kwa pesa aliyonayo.
Halima Chande said: IST NYEUSI MWAKA 2005 CC 1490 KM 121958 RM SPOTS HAINA TATIZO LOLOTE KAWE DSM 0684703200View attachment 1271836View attachment 1271837 Click to expand... Mkuu ingekuwa vema utaje na bei yake ili watu wahamasike kukutafuta. Ukitaja bei mtu anapata confidence kwamba anaimudu au haimudu kwa pesa aliyonayo.
mchumi tumbo JF-Expert Member Joined Mar 2, 2018 Posts 832 Reaction score 996 Nov 25, 2019 #3 Utapata mteja faster sana kwa hiyo bei.
Ngisibara JF-Expert Member Joined Jan 2, 2009 Posts 3,413 Reaction score 2,275 Nov 25, 2019 #4 Halima Chande said: IST NYEUSI MWAKA 2005 CC 1490 KM 121958 RM SPOTS HAINA TATIZO LOLOTE KAWE DSM 0684703200View attachment 1271836View attachment 1271837 Click to expand... Punguza bei kidogo ili tujadiliane
Halima Chande said: IST NYEUSI MWAKA 2005 CC 1490 KM 121958 RM SPOTS HAINA TATIZO LOLOTE KAWE DSM 0684703200View attachment 1271836View attachment 1271837 Click to expand... Punguza bei kidogo ili tujadiliane
H Halima Chande Member Joined Sep 9, 2018 Posts 6 Reaction score 0 Nov 25, 2019 Thread starter #5 Halima Chande said: IST NYEUSI MWAKA 2005 CC 1490 KM 121958 RM SPOTS HAINA TATIZO LOLOTE KAWE DSM 0684703200View attachment 1271836View attachment 1271837 Click to expand... Ml. 11
Halima Chande said: IST NYEUSI MWAKA 2005 CC 1490 KM 121958 RM SPOTS HAINA TATIZO LOLOTE KAWE DSM 0684703200View attachment 1271836View attachment 1271837 Click to expand... Ml. 11
Siasa Basi JF-Expert Member Joined Jul 10, 2016 Posts 1,493 Reaction score 4,285 Nov 25, 2019 #6 Halima Chande said: Ml. 11 Click to expand... Mil 11nini? Ikifika milion 5 nishitue. Dalali bwana 11 gali imechoka kabisa wakati shoorom napata mil 10.5
Halima Chande said: Ml. 11 Click to expand... Mil 11nini? Ikifika milion 5 nishitue. Dalali bwana 11 gali imechoka kabisa wakati shoorom napata mil 10.5
A antipas JF-Expert Member Joined Oct 14, 2011 Posts 411 Reaction score 417 Nov 25, 2019 #7 Siasa Basi said: Mil 11nini? Ikifika milion 5 nishitue. Dalali bwana 11 gali imechoka kabisa wakati shoorom napata mil 10.5 Click to expand... Na wewe acha umbeya gar imechokw wap na wap unapata ust ya 2005 kwa 10.5 kama hujui magar kaa kimya
Siasa Basi said: Mil 11nini? Ikifika milion 5 nishitue. Dalali bwana 11 gali imechoka kabisa wakati shoorom napata mil 10.5 Click to expand... Na wewe acha umbeya gar imechokw wap na wap unapata ust ya 2005 kwa 10.5 kama hujui magar kaa kimya
H Halima Chande Member Joined Sep 9, 2018 Posts 6 Reaction score 0 Nov 25, 2019 Thread starter #8 Siasa Basi said: Mil 11nini? Ikifika milion 5 nishitue. Dalali bwana 11 gali imechoka kabisa wakati shoorom napata mil 10.5 Click to expand... Hahahaaa. Kanunue boss. Ujalazimishwa wala
Siasa Basi said: Mil 11nini? Ikifika milion 5 nishitue. Dalali bwana 11 gali imechoka kabisa wakati shoorom napata mil 10.5 Click to expand... Hahahaaa. Kanunue boss. Ujalazimishwa wala
H Halima Chande Member Joined Sep 9, 2018 Posts 6 Reaction score 0 Nov 25, 2019 Thread starter #9 antipas said: Na wewe acha umbeya gar imechokw wap na wap unapata ust ya 2005 kwa 10.5 kama hujui magar kaa kimya Click to expand... Hahaa utakuta hata baiskeli hana. Biashara ni maelewano.
antipas said: Na wewe acha umbeya gar imechokw wap na wap unapata ust ya 2005 kwa 10.5 kama hujui magar kaa kimya Click to expand... Hahaa utakuta hata baiskeli hana. Biashara ni maelewano.
jiwe angavu JF-Expert Member Joined Aug 28, 2015 Posts 21,702 Reaction score 41,865 Nov 25, 2019 #10 Ila kwa hiyo hela hapana aseee..hapo unaagiza kabisa japani..angesema 8 sawa. Halima Chande said: Hahaa utakuta hata baiskeli hana. Biashara ni maelewano. Click to expand...
Ila kwa hiyo hela hapana aseee..hapo unaagiza kabisa japani..angesema 8 sawa. Halima Chande said: Hahaa utakuta hata baiskeli hana. Biashara ni maelewano. Click to expand...
G.Jacob JF-Expert Member Joined Aug 12, 2013 Posts 3,617 Reaction score 3,484 Jan 12, 2020 #11 antipas said: Na wewe acha umbeya gar imechokw wap na wap unapata ust ya 2005 kwa 10.5 kama hujui magar kaa kimya Click to expand... Acha kuzingua mkuu, kwa bei hiyo unayotaka mtu anapata showroom moja kwa moja usijifanye kujua kuliko wengine. Sent using mazonge yamezidi
antipas said: Na wewe acha umbeya gar imechokw wap na wap unapata ust ya 2005 kwa 10.5 kama hujui magar kaa kimya Click to expand... Acha kuzingua mkuu, kwa bei hiyo unayotaka mtu anapata showroom moja kwa moja usijifanye kujua kuliko wengine. Sent using mazonge yamezidi