Naiuza Ipod touch 4th generation 8Gb ina kamera,bluetooth,wi-fi na vifaa vyake vyote original kama vile earphone,charge,usb cable pamoja na cd ya i-tunes.
Kaka sio kimeo nimenunua nje ya nchi naona kama ni mzigo coz ninatumia iphone so hiyo iphone inafunctions zote zilizopo kwenye ipod hapa TZ nadhani sasa hivi zinauzwa dola 650 piga hesabu mara sh 1560 utapata jibu ni sh ngapi.