SUCRE MARIACH
Senior Member
- Jan 27, 2010
- 104
- 27
- Thread starter
-
- #21
Kwa kauli kama hizi, kauze tu ugoro bidhaa hizo hazikufai.
Taja bei atakayetaka ku negotiate ndo akupigie
Kwa kauli kama hizi, kauze tu ugoro bidhaa hizo hazikufai.
Sasa nikishakutajia bei mkuu lakini mwisho wa yote utahitaji kuziona ili ujiridhishe na sio kwa maongezi tu bila kuona kwa macho na hata kujaribu... Nitafute tu wala usiwe na presha na ukinikosa tuma ujumbe mfupi na nitakupigia mimi kama upo na uhitaji.
Hapo ndipo wanapoumia....!
Nasikia harufu ya raia kuingizwa mjini maana muuzaji hajui afanyalo.
Nimeshatoa bei kwa mpya na hizi ambazo zimetumika kidogo bei ni maelewano tu na simu ni za uhakika wala si za kuunga unga, Kila la kheri kirakapachaUnapotaja Bei hapa unaondoa usumbufu wa mtu kukupigia simu na kuanza ku bargain, pia ingekua vizuri kama ungeweka na picha zake Hapa
1.6 million huku mbinga unanunua viwanja 32
1.6 million huku mbinga unanunua viwanja 32
Sasa mkuu simu zilizopo ni iphone 6 plus mpya kabisa na ni factory unlock pia kuna used iphone 4s na simu nyinginezo nyingi tu na hata kama sina kwa muda huo basi nitakuagizia iwe mpya au iliyotumika... Kuhusu kutupia picha ni ngumu sana maana sina muda( samahani sana kwa hilo)
Kila la kheri
Iphone 6 plus nauza mil.1.5 ni mpya kabisa zipo na kila kitu na hazijatumika hata mara 1 pia ni factory unlocked, Zipo pia Iphone 5s na 5, 4s hizi zimetumika kidogo na ni factory unlock hata bei zake ni za papo kwa hapo yaani ni maelewano tofauti na hizo mpya kabisa... Nataraji kuwa nimeeleweka
*Kama kuna simu unahitaji pia niPM ukiambatanisha na ofa ya pesa utakayotoa, ni hayo tu na kila la kheri
Customer Care....!!!!!?????😳😳😳😳😳Anaoneka sio mfanyabiashara! Customer care zero.
Yaani nachoka kabisa, kwa kifupi rangi zote unazozijua wewe zipooo... Twende sawa5s ni bei gani na ni rangi gani?
Yaani nachoka kabisa, kwa kifupi rangi zote unazozijua wewe zipooo... Twende sawa