Kama upo dar njoo pm tuwasiliane, nimeinunua toka dukani tarehe 2/10/2017, ni bado mpyaa haina shida yoyote. (iPhone 6s) naiuza 650k. Bei haipandi wala haipungui.

Sasa dada angu hapa uliitwa labda? Kwanini unakua mjinga wa kiasi iki? Mim nimekukosea nini? Nakujua? Unanijua? Dada angu sijapenda kabisa kauli zako za kipuuzi kama hizi. Anyway endelea kutukana watu tu mitandaoni ila siku ya siku unakuta ni baba zako sijui utafanyaje.
Nimewaza ikiwa kama huy uliyemwambia hiv hana mama yake(alishafariki) sijui amejisikiaje! Kiukwel hata kama ndo majib ya hiv uwe unayachambua kidogo ,,,imeniumiza mno