Nauza iPhone 5s kwa 150,000 tu

Nauza iPhone 5s kwa 150,000 tu

EJM_

JF-Expert Member
Joined
Jul 8, 2011
Posts
3,836
Reaction score
2,108
Ninaiondoa mikononi mwangu simu yangu kwa bei ya Tzs 150,000 tu (Non negotiable) nikiwa nimeitumia kwa kipindi kisichozidi miezi minne tu
Brand: iPhone
Model: 5s
Storage: 16Gb
iOS: 12.2
Color: Gold
Location: Dar Es Salaam

Note: Simu peke yake charger yake ilishaharibika so ninatumia ya simu yangu nyingine

Tuwasiliane kwa wahitaji serious kwenye 0737707960
IMG_0104.JPG
IMG_0106.JPG
IMG_0108.JPG
IMG_0107.JPG
 
Ninaiondoa mikononi mwangu simu yangu kwa bei ya Tzs 150,000 tu (Non negotiable) nikiwa nimeitumia kwa kipindi kisichozidi miezi minne tu
Brand: iPhone
Model: 5s
Storage: 16Gb
iOS: 12.2
Color: Gold

Tuwasiliane kwa wahitaji serious kwenye 0737707960View attachment 1142786View attachment 1142787View attachment 1142788View attachment 1142789
Njoo inbox tupange rendezvous lakini uje na risiti original uliyonunulia picha yako ya passport size na kitambulsho chako halali kati ya k/utaifa, lesseni au passport yako ya kusafiria na copy ya kitambulisho utakachokichagua. Mimi hapa nimeishadraft sale agreement na ink pad yangu hipo tiyari kwa ajiri ya saini yako ya Dole gumba .
 
Dah sijui kaka ila kama una mtu yuko Dar tunaweza mtumia huyo ukaipata kama tutafikia muafaka
 
Simu ipo mikononi mwako ila picha umetoa mtandaoni.
 
Back
Top Bottom