Mbona kama imevunjika kioo mdau?
π€£ we jamaa π€£cc nani vile???πππ kwisha habari yakoπππ
Naomba unipigie namba zangu ni 0654935632Simu hiyo wazee haina kasoro wala mkwaruzo wowote, batter 6000 nipo Mbeya.
- Ina GB 64
- 3--6GB RAM
- 720Γ1600 pixels
- 13 MP (1440p)
- Betri 6000mAh, inakaa na chaji muda mrefu mno
- 6.52 inches
- Android 11, XOS 7.5
View attachment 2143515