CHE GUEVARA-II
JF-Expert Member
- Jun 17, 2010
- 571
- 156
Nilimnunulia mtu lakini imegeuka pambo la ndani.
Bei: 275,000 Tshs
Battery AAA NS40R 12V36H
Nilinunua mpya kwa 140,000 Tshs nikidhani inaweza kutumika katika incubator kwa sababu incubator hii pia ina option ya kutumia battery (kama back up umeme wa TANESCO ukikatika).... bahati mbaya battery haiendani na incubator au niliyempatia hajui kuunganisha.
Bei ya kuuza battery: 125,000 Tshs
Hivyo NAVIUZA VYOTE: 400,000 Tshs
Kwa mawasiliano: 0763718328