mkuu hiyo ni ndoa ya kikristo "tutapendana kwa shida na raha mpaka Mungu atakapotutengenisha" mteja kupata ni ngumu na hivi siku hizi hayatengenezwi tena hata spea zake hamna, acha fuel consumption dah yaani hilo dude ni mimbaaa... tena ya kutafuta kwa mganga masharti kibao, vumiliana nalo tu mkuu kitunze kidumu!!!

Kama ningekuwa na Mahela ningefanya mambo tatizo sina vijisent, ila Hongera sana kwa kumiliki hiyo gari.
Thank you.........
Hahahahaaa!!!mkuu hiyo ni ndoa ya kikristo "tutapendana kwa shida na raha mpaka Mungu atakapotutengenisha" mteja kupata ni ngumu na hivi siku hizi hayatengenezwi tena hata spea zake hamna, acha fuel consumption dah yaani hilo dude ni mimbaaa... tena ya kutafuta kwa mganga masharti kibao, vumiliana nalo tu mkuu kitunze kidumu!!!
Hahahahaaa!!!
inauzika mkuu...........wapo vijana wana hela haina kazi kabisa!
Ngoja shimo liteme...machalii watalinyakua fasta.
mimi hili gari nailigopa sana, yaani hata ukanipa Bure! Labda uwe unaniwekea na mafuta pia