amini usiamini sijawahi kuzisikia, nimemuuliza best wangu hapa mkenya naye kasema ndo kitu gani hicho! i am not being naive or ignorant, ila hii kitu kwa Obama sijawahi isikia!
Ok hawa jamaa wapo Siku nyingi sana ila ndo wameanza kutengeneza smart phones zao na pia wanakuja juu sana kama ni mtu wa iPhone na iPads najua u don't bother kucheki aina nyingine za simu hasa za android OS