Nauza huawei P7

The Wolf

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2013
Posts
9,445
Reaction score
20,809
Ni mpya imetumika kwa wiki 2,
Specifications:
Android OS: kitkat 4.4.2 (upgradable)
Memory: Internal 16GB, 2GB RAM
Camera: front 8 MP, rear 13 MP(wale wa selfie)
Network: 2G, 3G, 4G LTE

Others;
NFC
Corning Gorilla Glass 3
Ultra slim
Fashionable
Micro SIM
Non removable battery
Flip cover (very original)

Latest and leading huawei flagship : released June 2014

Price: 700,000/= Tsh
 

Attachments

  • 1407944456025.jpg
    6.4 KB · Views: 791
  • 1407944472149.jpg
    9.3 KB · Views: 455
  • 1407944483928.jpg
    8.9 KB · Views: 431
  • 1407944496174.jpg
    7.1 KB · Views: 413

Aisee nitumie no yako pm nikucheki tuongee
 

hizi picha ndio hiyo simu yako au sample yake.
 
hizi picha ndio hiyo simu yako au sample yake.

Picha za bwana google mkuu ila simu ndio kama ilivyo vivyo hivyo wakati napost nilishindwa kuipiga picha kwa kuwa ndio niliyokuwa naitumia
 
basi nilivyoona "huawei" nikasema ndo gari gani tena hili! kumbe simu, mweh embu nifanye nirudi bongo
 
basi nilivyoona "huawei" nikasema ndo gari gani tena hili! kumbe simu, mweh embu nifanye nirudi bongo

Ina maana huzifahamu?zinapatikana sehemu mbali mbali duniani
 
Aiseee unakaa njombe ndanindani nini??jf unaipataje sasa??

hapa nilipo sijawahi kuzisikia kusema ukweli, mara nyingi nikiingia jamii natumia desktop comp na mara moja moja natumia my iphone or my ipad
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…