Mukulu wa Bakulu
JF-Expert Member
- Aug 12, 2014
- 4,050
- 12,967
Bei kasema utaje wewe halafu mkutane pm na ndio maana tunamwekea hapo.Weka picha. Weka bei tujadili
Ulinunua lini? Ni generation ya ngap? Graphics card ngap??? Battery inakaa masaa mangap?Nina HP Pavillion Note Book Laptop.
RAM 12 GB.
HDD 1T.
Webcam
Wi-fi.
Touch Screen.
i7.
15.7"
Windo 10.
Iko na hali yake ile ile. Sababu ya kuiuza sina kazi nayo. Nilinunulia kidosho ameleta ujinga nimeirejesha maskani.
Kama mtu ana hela ya kueleweka comment nikipenda offa yako nitakupm.
Usije pm kabla hujatoa offer yako.