Nauza heka 3 Kigamboni

mkada

JF-Expert Member
Nov 14, 2011
1,200
906
Nauza shamba la heka tatu Kigamboni, Mwasonga karibu na kiwanda cha cement cha nyati, linafaa kwa kilimo na makazi, kuna kisima pia. Heka moja ni milioni 5.Karibuni.
 
NAUZA KIWANJA GEZAULOLE(KIGAMBONI)-UKUBWA EKAR MOJA(1) .HAKIJAPIMWA.BEI MIL 30.MAZUNGUMZO YAPO.KIWANJA KIPO SEHEMU NZURI,KIMEPAKANA NA KIDETE SECONDARI.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom