Unaweka sim card yenye kifurushi maalum kipo kwenye menu ya Halotel, baada ya hapo basi utawasha wifi kama ni ya simu, Tv nk na ku connect na hiki kifaa kwa kuingiza password
Kwa kifupi,hiko kifaa ni kama modem ila utofauti wake ni kwamba, hiki kinakupa access ya internet kwa wireless, hivo kama una smartphone, computer na smart Tv unapata internet kutoka hapo kwa kasi ya 4G