Nauza Godoro used 5*6 inch 8

Nauza Godoro used 5*6 inch 8

Feni na carpet nahitaj as soon as possible nna dogo langu anataka kuanza life
 
Hilo godoro siyo nchi 8.

Halafu nikupe ushauri, tafuta foronya mpya, valisha, badili ID njoo utangaze upya.

Utauza fasta, ila kama ni TanFoam kweli.
 
Magu legeza vyuma babaa......
Ona sasa watu wanauza hadi magodoro, watalala wapi sasa....[emoji45] [emoji45]
Sio kila kitu kinachouzwa ni coz ya magu kabana ni mauzo tu kwan kuuza godoro ajabu, acha ushamba
 
Mkuu siyo ajabu mkuu.

Ila humu JF kila mtu ananunua kitu kipya, wa humu magodoro wakiwa hawatumii wanayatupa.

Humu sote ni matajiri mkuu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
 
Sio kila kitu kinachouzwa ni coz ya magu kabana ni mauzo tu kwan kuuza godoro ajabu, acha ushamba
Minimshamba kweli mkuu, maana hayo mambo ya kuuza lalio hayapo na hayafanyiki huku kwetu Imalamagigo...[emoji12] [emoji12]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]

Mkuu wewe ni ke au me?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom