Nina Godoro langu nilinunua kwa ajiri ya mdogo wangu ila akawa amepata kazi nje ya dar kabla hajalitumia. Godoro ni Tanfoam 5x 6 lenye box ni nchi 10.
ni jipya kabsa halijalaliwa hata siku moja. naliuza kwa bei ya hasara ya laki 3 tu. (300000)
pia kuna mtungi mdogo wa oryx gesi pia ni mpya full na gesi yake nauza kwa 40000 tu.
Niko Dar kwa anayehitaji piga simu
0655302458